Nahitaji karatasi za khakhi

Nahitaji karatasi za khakhi

Joined
Mar 10, 2018
Posts
23
Reaction score
13
Habarini za kutwa wakuu. Nipo katika utafiti.Nahitaji kufanya Biashara ya mifuko ya khakhi. Tatizo langu ni kwamba, je ni wapi nitapata hiyo malighafi kwa hapa Dar?

Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom