Wandai kwematindi
Member
- Mar 3, 2018
- 5
- 0
- Thread starter
- #21
Mm nanunua kwa 5500 aliyeko tayari tufanye biashara
Wabichi au wakavuNitahitaji sato baadae kidogo,
Wanatoka mwanza ama unao Dar?
Wa dar wakufugwa bwawani watamu balaa hawajakaa kwenye mafriji mda mrefu,nakuuzia akiwa anaruka rukaNitahitaji sato baadae kidogo,
Wanatoka mwanza ama unao Dar?