Nahitaji kambale

Nahitaji kambale

Nilitafuta kambale nikachoka,nimekuja wapata kwa mzee mmoja anauza kg 6000
Yuko Rombo Kimara
Ila ana mapozi sana..
 
Weka offer yako kwa kilo na aina unayotaka wabichi ama wakavu
 
Mkuu unaitaji kweli bidhaa au unapima upepo tu?, haya mimi naweka Offer yangu kg 8000 kama upo tayari ila ongeza ongeza uitaji wako wa mzigo alau ufike kg 50 hivi.
 
Kwa kila kilo nauza 7000 sato 8000.ukiridhika na bei hiyo njoo pm.na wafugaji pia nauza Vifaranga sato 150 Kambale 400
 
Mwenye mali haweki offer,, anaweka bei,, mtafutaji ndo anaweka offer,,
Acheni hizo,
Wewe una mali yako unafahamu cost of production na unafahamu unahitaji faida kiasi gani.
Weka bei mnununuzi akubali ama areject.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom