Nahitaji kadi za CHADEMA kama 60

Nahitaji kadi za CHADEMA kama 60

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Wakuu nipo nje ya TZ ila nahitaji kadi za CHADEMA kama 60,ili kuwe na tawi ya CHADEMA hapa,nipo tayari kuzilipia mwenyewe

Hapa wabongo wengi wanaikubali CHADEMA,ila tatizo connection ya TZ.Kama upo uwezekano naomba private message, maana CCM wana tawi lao hapa.
 
Kila la heri Mkuu ila uwe makini na watu utakaodeal nao ktk mchakato mzima wa kupata kadi. Wengine wahuni tu ndani ya mwavuli huohuo wa chadema. Niliongea na jamaa mmoja nikamlipa hadi pesa anichapishie bendera 10 na kapelo 20,khaaaaaaaaaaaa! c kaingia mitini bana,maelezo meeeengi baadae hakupokea hata calls zangu!
 
Mbona nasikia hivo vitu vimejaa kibao makao makuu wewe tuu hadi, miamvuli ya kumwaga.
 
Sahihi mkuu,,wamefungua duka hivi sasa mtaa wa pili kutoka zilipo ofc za makao makuu ndo wanauzia hapo but that time naongea na huyo jamaa na kumpa deal hawakuwa na duka wala utaratibu wa hivo.
 
POLE SANA Mmbangifingi, inawezekana huyo uliyempa deal hilo ni mmoja wapo wa MASALIA.
 
Mbona nasikia hivo vitu vimejaa kibao makao makuu wewe tuu hadi, miamvuli ya kumwaga.

Habari njema sana hizi sasa hilo duka linatakiwa lifungue branh nyingi nchi nzima maana mahitaji ni makubwa sana huku mikoani kuna matawi yamefunguliwa huko vijijini hakuna hata bendera,so ni wakati muafaka wa kukitangaza chama kupitia nembo zake.
 
Back
Top Bottom