Habari wandugu,kama kuna mtu yeyote anaweza niuzia friji dogo kabisa...ajitokeze.
ni kwa ajiri ya matumizi binafsi ya kinyumbani.
utaratibu.
1.nitajie spesfication zake
2.umelitumia muda gani
3.unapatikana wapi.
4.bei gani
5.picha yake itakua bora zaidi.
6.weka namba yako ya simu ntakupigia mimi mwenyewe.
NB:ninahitaji moja tu (NAOMBA LIWE DOGO KABISA)..na nitachukua litakalonivutia na lenye ofa ya chini zaidi ya wengine.
Karibu tufanye biashara.
Update.
Napatikana dar es salaam
Mininalo kubwa linatumia mafuta ya taa,nilinunua ileje mwaka 1951.Nimeliwekea kitasa cha mlango wa nyumba,ndani lina shelf za mbao.Njoo ulichukue nitakupa na elfu 20.
Mkuu nilisahau kusema kama niko dar...
hahaha! Acha mambo yako wewe!!