Nahitaji jingo ya Diamond ya voda

Gulio Blog

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,056
Reaction score
4,124
Mwenye nayo naomba anitumie au aweke link. Diamond kwa sasa anaimba vizuri hizi jingo zake kuliko hata hitsong.

Kuna ile ya coca ilikuwa nzuri pia na hii ya voda ni nzuri naomba uniweke link niidownlod
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…