nahitaji IST

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
793
500
Nina swift la 2004, lipo kwenye hali nzuri anatumia wife. Nataka kubadilishana na mtu mwenye IST namwongezea na 1.5million. IST=Swift+1.5mil. Kwa Mawasiliano ani PM
 

joss1973

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
393
225
Duh mkuu hapo itakuwa ngumu sana .suzuku ni 5m ya mkononi na ist 9mil ya mkononi .sasa hapo utafanya je ??bora uhuze hiyo swift
 

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,890
2,000
Angerahisisha kwa kuweka specs za hiyo SWIFT ili watu wajue thamani yake kwa sasa barabarani ikoje na soko la kitaa linasemaje kuhusu hiyo gari then from there ndo umsaidie hata kama kuna mtu ana IST ajue atahitaji top up kiasi gani hapo juu ya hiyo gari.
 

joss1973

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
393
225
Nafikiri mkuu ungeuza hiyo suzuki swift and ukaongezea hela na kununua ist simple like that.kama utakuwa tayari .kuiuza hiyo swift.tuwasiliane
 

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
793
500
Nafikiri mkuu ungeuza hiyo suzuki swift and ukaongezea hela na kununua ist simple like that.kama utakuwa tayari .kuiuza hiyo swift.tuwasiliane

6.5 mil tsh. Ukilihitaji kuliona ni pm
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom