ndalibanyo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 430
- 427
Nilimaanisha aongezee hapo 2.5 to 3m aagize ili apate gari ya sifa zote anazotaka vinginevyo ist iliyosimama vizuri kabisa kuachiwa kwa 8 m ni ngum kidogo, labda iwe bahati yakeNa 8M?
Doh!
Nilimaanisha aongezee hapo 2.5 to 3m aagize ili apate gari ya sifa zote anazotaka vinginevyo ist iliyosimama vizuri kabisa kuachiwa kwa 8 m ni ngum kidogo, labda iwe bahati yakeNa 8M?
Doh!
zinapatikana Ila siyo kwa haraka awe na subira..Nilimaanisha aongezee hapo 2.5 to 3m aagize ili apate gari ya sifa zote anazotaka vinginevyo ist iliyosimama vizuri kabisa kuachiwa kwa 8 m ni ngum kidogo, labda iwe bahati yake
Ilipofikia Niandalie hela yako hyoBovu hilo
Wakuu salamu
Nahitaji IST yenye Sifa zifuatazo haraka iwezekanavyo, kama unayo na unauza njoo PM.
•1490 cc or above.
•Rangi Silver or White
•Rim Sport
•Sportlight
•Fogg light
•Isiwe na mkwaruzo au kurudiwa rangi
•Namba D...
Offer yangu ni 8 Million Only
Chap chap kama unauza njoo PM
NAWASILISHA