Hapa Unazungumzia Simu ya Mwaka 2015 na ya mwaka 2016,
NO WAY UKAPATA MPYA SEALED HATA KDG HASA KWA HAPA BONGO, NA TENA USHASEMA HELA NI TATZO.
Hata factory warrant zao zishaishaa...
Ukikwepa Refub utaangukia kwenye mtumba/carrier unlocked...
Hakuna simu mpya Unauziwa nje ya boks...
Na sio tu ndani ya boks, bali boksi very sealed tena hasa kampuni kubwa km hizi...
Ukiiona unauziwa simu mtu kaishika inamelemeta halaf anakuambia brand new full boxed jiongeze tuu...
Kua tu mpole,
Chamsingi Soma battery health,
ukiikuta Chini ya 95% hio kwa matumizi ya kawaida imetumika mwaka mmoja, waweza beba.
Chini ya 90% acha kbsa.
Sent using
Jamii Forums mobile app