Nahitaji HP Pavilion DV6

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
311
71
Wadau nahitaji HP Pavilion original ya US. Napenda iwe na sifa zifuatazo
Memory angalau GB 4 na kuendelea
HD angalau 500 GB
Processor iwe COREi 3 ama latest zaidi
Iwe rangi yoyote ila kama itapatikana white ndo my favourite.
Budget yangu ni laki sita (600,000)
kama unayo nitafute tufanye biashara................0689825324
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom