Nimeanza kui-download hio, usikondeUkipata na mie naomba hii 'Olympus has fallen'
Mkuu Paje njoo unipe maujanja hapa...
Natanguliza Asante
Mkuu unapatikana wapi? Tuwasiliane basi...
una bandwidth ya kutosha nikupe link, au unataka nikudownloadie?? au unataka nikuunge na huduma ya wireless internet yenye speed kubwa mno utapata net utumie upendavyo bila kikomo kwa 350 kwa siku au elfu 10 kwa siku 32??
kama upo miji mikubwa utaweza kudownload movie moja kwa dakika 12 tu.
kwa siku unaweza kupata movies zaidi ya kumi.
chagua

Kama kuna mtu anauza hizi muvi/au anatoa bure naomba tuwasiliane tafadhari....
01. Final destination, part1.......hadi mwisho
02. Wish Master, part1......hadi mwisho
03. Wrong turn, part1.......hadi Mwisho
04. Saw
niPM au 0767698281 tujadili vizuri:washing: