Nahitaji hata za kichina

Mwanamke wangu hupenda manyoya ya kifuani na tumboni, ilhali mimi sina....! Nifanyeje?

kazi ndogo sana ila inaweza kuwaletea mtafaruku wa kudumu. Mkiwa na ufahamu wote wawili hili litawasaidia, na yeye atajiona ****. Tafuta kiungo katika mwili wa mwamke kinachokuvutia ambacho yeye hana na umwambie
 
huyo mkeo mmekuwa pamoja kwa muda gani...is this a s recent thing..hiyo kupenda manyoya? if not basi alipokutana nawewe alijua kuwa huna manyoya..if it was that important for her basi asingeendelea nawewe.....alternatively unaibiwa!!!pole sana!!!

hayo manyoya mengine yakizidi yanatia kinyaaaaaaaaaa
 
ni mazuri tu kuyapalula palula bwana wewe unadhani yana uzuri mwingine? .don wanna go in deep te te te

Heri mie nnayo lkn wa kwangu hajawahi hata kuyazungumzia anayaangalia tuuu, halafu anauliza kwa nini usinyoe na haya hahahahahahahahh
 
Kama hizi

manyoya.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom