Nahitaji hata za kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji hata za kichina

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Konakali, Oct 7, 2010.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mwanamke wangu hupenda manyoya ya kifuani na tumboni, ilhali mimi sina....! Nifanyeje?
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha kumekucha kama huna atafanyaje ?
  hebu akae ndani ajitulize na ajifunze ku -accept mambo uumbaji wa mungu
   
 3. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Lakini kuna siri gani kuhusu manyoya haya kwa wanawake?
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  mmmh ukiona hivyo ujue keshapata mtu mwenye manyoa au bwana wa kipemba nenda surrender bridge pale kuna jini manyoa litakupa bure mpaka ya kwenye ulimi
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ni mazuri tu kuyapalula palula bwana wewe unadhani yana uzuri mwingine? .don wanna go in deep te te te
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  kaka mshukuru mungu kwa uumbaji,mkeo nae akukubali kama ulivyo kama ana mapenzi ya dhati,usijiumize kichwa kutafuta manyoya ya kichina yatakutokea puani
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mkaribishe hapa ajipatie kile akipendacho sio siri vnyoya vya kifuani ni muhimu sana unaweza kuiita catalyst.
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ha!ha!ha!haaaaaaaaaa raaha kweli kweli ebu nenda kaishi na masokwe porini kwa mwezi mmoja uenda zikaota..
  sasa uyo mkeo mbona ana kero sasa?ataomba vp kitu ambacho huna nahakipatikan madukan?
  uyo hana to faut na wale wanaosema..napenda urefuke kama john...eti mpz...?uyo anamaanisha ajaridhika na wewe na anayoyataka we huna..na ukichek kwa undan zaidi akupend labda ndo mana anatafuta kakitu kaduuuchu ambacho anajua hauwez ukakifixx
  --km vp nenda salun ukabandike human hair fup fup zile labda ataona km ayo manyoya..!!!!!
  manyoya yana raha yake bt nt too muuuuuch vile mtu anamanyoya mgongon tumbon.....haaaaaaa kero tena bt si issue saaaaaaaana as long as long as MENGINEYO yamo!!!!
  ..kuna rafik angu akimwona mkaka ana ndevu ndefu km zle beberu style bt zisiwe ndeeefu saana yan za kishkaji tu km za radio yule mwanamuziki wa uganda anataman aende akamwombe azishike...hahhhhaa sjui nivip mtu anapenda manyoya na anakosa raha akikosa...!!!!!!!!
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo kumbe kuna umuhimu wake.....?
   
 10. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwani we Rose hupendi hayo manyoya?
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,217
  Trophy Points: 280
  Nenda saluni yeyote ya kiume, okota mabaki ya nywele zilizo katwa kisha bandika kifuani kwako, kisha nenda kwa mkeo ATAFURAHI SANA.
  NB:-
  Hii mianamke tunayoiokota mitaani ina shida sana. Na wewe mdai sura kama ya Miriam Odemba.
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mwambie sina
  kama ana solution akuambie ufanye nini ili yaote
  Pia mkeo nna wasiwasi na uwezo wake wa utambuzi. ina maana miaka yooote alikuwa hajagundua kuwa mzee ni kipara yaani huna vinyweleo? Shame shame.

  Akizidi sana mwambie aje kwangu nimwonyeshe madhara ya kupapatikia manyoya
   
 13. k

  kisukari JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  mwambie aridhike,ila manyoya yana raha yake.kama wanaume wengine wanapenda shanga,wakizichezea,wanapata mzuka fulani,na hato manyoya ni hivyo hivyo,mwanamke akichezea,anajisikia raha fulani.
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  bacha kakangu mi spend ,manyoya napenda ndevu fulan ivi ndefuu bdefu km beberu bt nt O au masharubu sjui mustach apanaaaaaa.. nataka za apo mbele tu zichomoze za kutosha kusuka konga moja au butu moja .......uwez jua zna kaz gan bt zna kazi kuubwa tu najua utaniuliza ip?stakwambia mpk ukue ..YESS MPAKA UKUE KDG..ssaaaaawaaaaaaaa?
  we mbona unapenda mwanamke km baunsa na mimi sjawai kukuuliza y? ..hahahh habarrrrrrrr ndo iyo byeeeeee naenda pata uji mie karibu!!!!!!!
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  daa umesema ukweli kabisaaaaaaaaaaaaaa au km vp amwambie anataka awe mweusi km paka afu tuone...utadai vp kitu kilicho nje ya uwezo?km si kutafutiana sababu uku ninin?km vp unajua misna bas nenda kwa vincent asi anayo?asi uliyaona?
  iyo haina tofaut na kumwambia we kiwete ebu ruka ukuta u..ruka mfereji basi twende...ataweza wap?
  demu wako ana miaka mingap mbona kakosa kutumia busara za form one a katika request zake?au alimaanisha kukutusi that ur nt real man cz hauna manyoya?km vp aende salender brdge atayapata aje akupunguzie kdg.....!!!!!anaboaaaaaaaa.
   
 16. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  je, wewe kisukari ukiwa unachezea hayo manyoya unapata mzuka???
   
 17. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,487
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  wakurya kwa uji
   
 18. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  hahahhhaaaaaa hahah dah funza umenchekesha mpz acha......do u thk m BHOKE?
  mmh apana swahiba mi kitu kingne kutoka pande nyngine kabisa TAFAUTI na kwa chacha mwita kakhkaaa....!!!!
  ok basi tufanye iv...niamba kulila likolo la nanyungu...!!!!!!!we mwana upilik?
  aya sasa cheza na iyo....
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sikia yapo manyonya ya kuotesha kuna paka wengi wanazurula mitaani kamata kama watatu hivi wanyofoe manyoya yao chukua superglue na uyabandike mwilini.
   
 20. k

  kisukari JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  hapana mimi mzuka wangu ni mapenzi ya dhati,hata awe na kibamia naridhika tu.Mwili unanisisimka wenyewe,bila ya kujali maumbile aliyokuwa nayo mtu.ila uwe mrefu,basi inatosha,kwani na mimi ni mrefu.
   
Loading...