NAHITAJI HARAKA SPARE YA TV-LG 42"

Sultan Zuwera

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
246
336
Wakuu mwaka 2012 nilikwenda nchini Oman ambako nilinunua Flat TV 42" aina ya LG Model LM5800. Mwezi Februari 2016 TV hiyo imeharibika, Unapoiwasha na kuonesha vizuri kama Dakika 15 hivi, picha unayoitazama huanza kuchezacheza (Ku-shake) Fundi kutoka LG Workshop ya Kisutu hapa Dar alikuja nyumbani kuifanyia matengenezo na kugundua kuwa Sacket moja iitwayo "TIMING CONNECTION" imeharibika. Alifuata Spare yake alipoifunga TV ikaonesha picha kinyume chake yaani miguu juu kichwa chini, hali hiyo ilijitokeza kwa kuwa spare hiyo ni ya TV zilizoko kwenye Show Room zetu hapa Tanzania. Hivyo akanishauri nitafute spare nyingine lakini iwe GENUINE (Halisi) inayotokana na TV za aina hiyo zinazotengenezwa kwenda Ulaya na nchi za Kiarabu. Hivyo yeyote mwenye Spare ya TV aina ya LG 42" Model 42LM5800 iitwayo "Timming Connection" PRODUCT CODE: 42LM5800-TC.AMAWLH anifahamishe haraka sana kwa simu 0783237333 nitampokea haraka iwezekanavyo. Naishi Kitunda Wilaya ya Ilala - Dar es Salaam.
1457445310466.jpg
 
Back
Top Bottom