Nahitaji GSM/ 3g Signal booster

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,057
Reaction score
15,527
Wakuu nahitaji hicho kifaa kwa ajili ya kuboost Mtandao wa simu eneo nililopo kwani mitandao yote ipo chini sana.

Nikipata kichosave angalau Kipenyo cha mita 500 itakuwa poa sana.

Kwa yeyote anayeuza au anajua kinapatikana wapi nahitaji sana.

Chief-Mkwawa Naomba msaada wako wa kitaalam
 
cheki AliExpress.com zinapatikana! ila quality ya boosted signal inategemea sana signal iliopo saiv,kama unaweza pata angalau bar mbili za mtandao saiv basi hicho kifaa kinaweza kukusaidia!
 
mkuu hebu nipe maelezo kwa kina, naweza pata hapa nchini kwa ghalama ipi
 
cheki AliExpress.com zinapatikana! ila quality ya boosted signal inategemea sana signal iliopo saiv,kama unaweza pata angalau bar mbili za mtandao saiv basi hicho kifaa kinaweza kukusaidia!

mkuu hapa bongo hakuna??
 
Unaizungumziaje yenye sifa hizi je inazidi db 18?
 
View attachment 1733504

Unaizungumziaje yenye sifa hizi je inazidi db 18?
hapo naona freq ni 1800mhz(downlink) ambayo kwa mitandao mingi hapa bongo 3G na baadhi 4G ndo inaweza kuwa supported na frequency band hii,
na mashaka kwa upande wa 2G kama inaweza kuwa supported kwan 2G bongo mitandao mingi ina rushwa na frequency ya 900mhz!

nadhan wajuzi zaidi wanaweza saidia hapa!

Sent from my M2010J19CG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ebu jazia jazia nyama,bei yake na inapopatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…