Official recommendation ya HP ni 2933mhz kama una Ile mid tower case, kama ni kile kidogo kinacho tumia ram za Laptop ni 2600mhz.
Pia zinatakiwa ziwe dual chanell, mfano unataka kuweka 16GB ram, basi unatakiwa ununue ram mbili za same brand, same frequency, kama Kingston 8GB 2600mhz ziwe mbili ili upate 16GB dual chanell.
Aliexpress kama 70,000 unapata 8GBx2.