Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Wadau habari za leo?
Nahitaji kununua gold/dhahabu used au mpya ila iwe genuine (halisi) inaweza kuwa mkufu,pete,hereni nk.Lengo ni kupata gramu tisa au kumi.
Kama una uza tafadhali njoo PM AU weka bei na picha ya kitu chako hapa jukwaani.
Nipo Arusha.
Asanteni wote.