Nahitaji gari ndogo

Nahitaji gari ndogo

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,242
Reaction score
1,188
Nahitaji gari ndogo ya sh 2m. Tafadhal msaada wenu
 
Nahitaji gari ndogo ya sh 2m. Tafadhal msaada wenu
Kwa hela yako itapata lakini halitakuwa nzima kama unavyotaka labda ukitaka nzima uzame zanzibar unaweza pata la kini kwa hapa bara utauziwa kimeo
 
Kanunue pikipiki mkombozi wa foleni
 
Kwa hela yako itapata lakini halitakuwa nzima kama unavyotaka labda ukitaka nzima uzame zanzibar unaweza pata la kini kwa hapa bara utauziwa kimeo
Asante mkuu
 
Sidhani una ufahamu kiasi gani kuhusu magari, lakini gari ya bei hiyo makinika sana ukiipata
Sawa....ngoja nizame zenji kwanza. Ikifail bas itabd nisubr
 
Pesa ndogo sana iyo mkuu. jarbu kujichanga tena japo 4M utapata usafiri hapa mjini ila si gari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom