Nahitaji gari kali sana fasta nina milioni 7 nipo Kibaha

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
301
Iwe gari kati ya Rav 4 new model old au Haria new model au tupia gari lolote ambalo unataka kusukuma upate hela ya fasta

Liwe namba D njoo PM

NB: Madalali please msiniwekee maneno yenu ya zeengwe maana ninyi ndo mwajua sana kupandisha Bei za magari Mara mbili,

hapa nimewaandikia wenye magari yao, wanaotaka kuuza bila kupitia kwa kwenu.

Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7m! Namba d na new model!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom