Unapatikana wapi mkuuHabari za usiku huu.
Samahani waungwana, nahitaji ist no d iwe haijarudiwa rangi, iwe kwenye hali nzuri kabisa na isiwe na shida yoyote. Offer yangu ni 8.5m napatikana dar.
Gari ipoHabari za usiku huu.
Samahani waungwana, nahitaji ist no d iwe haijarudiwa rangi, iwe kwenye hali nzuri kabisa na isiwe na shida yoyote. Offer yangu ni 8.5m napatikana dar.
Kuna uzoefu kwamba gari lililorudiwa rangi lina historia ya kupata ajali likanyooshwa "bodi" hivyo halifai.Kurudiwa rangi kuna uhusiano gani na gari mbaya? Nauliza tu kujifunza.