Nahitaji Gaming Machine (CPU Only) exchange with Laptop

Andaa laki mbili then agiza alliexpress ni 130k
Kwema ndugu...mm nahitaji graphic card ya geforce gtx 750 ti au ya chinj yake naweza pata wapi na bei gani ? Mtumba/used

Ni used. Ukishindwa ongea na mwl Rct. Akuagizie.
 
Hivi kumbe yawezekana,
Mfano Mimi nataka mashine yenye uwezo wa Ku run Adobe after-effects natakiwa ni assemble ya aje?
unaota wewe, utoe bajaji upewe kosta kweli ?
ila kupata gaming pc ni vizuri ufanye modding(tuning)
una assemble ya kwako
unanunua RAM kivyake, motherboard kivyake, processor kivyake, video card, SSD, housing
then unaunga kwa pamoja
 
Hivi kumbe yawezekana,
Mfano Mimi nataka mashine yenye uwezo wa Ku run Adobe after-effects natakiwa ni assemble ya aje?
Inategemea na unachotaka kufanya ila kikawaida huwa machine ya kueditia video ama 3d rendering na effects mbalimbali zinakuwa na sifa hizi.
1. Processor zake zinakuwa na core nyingi kadri inavyowezekana.
2. Ram ya kutosha 16GB minimum na recomended ni 32GB
3. Gpu ni muhimu kiasi utahitaji monitor yenye resolution kubwa pia 1080p kupanda.

ukitaka best kabisa kurun After effects jiandae milioni 4 kupanda.

Kibongo bongo kwa kubana budget unaweza ukanunua used 2nd gen i7 mpaka 4th gen hizi unazipata around laki 4 mpaka 6, kisha ukanunua gpu separate na kupachika.

Kama hata hio hauna unaweza tumia hata computer ya bei rahisi na kurun version za zamani. Mfano ukatumia After effects cs3 kwenye laptop ya 150k na ukafanya kazi vizuri tu.
 
Shukrani mkuu, nitakutafuta tuyajenge.

Kuna graphic card hapa radeon r9 280x 3gb nataka 370k na r9 290x nataka 500k nicheck 0716917896.kea wale wa gaming,video editing ,graphic desighn, gpu hizo jamanj
 
Hata mm ningeagiza lkn mambo AliExpress siyajui kama unaalew nielekeze
Kuna uzi wa kuagiza bidhaa online. Humu utafute unaelejeza hatua kwa hatua. Au ukishindwa kuna membe ongea nae atakuagizia kwa malipo kidogo sana. mwl rct
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom