Nahitaji Fundi wa Kupaua nyumba - monopitch

Nahitaji Fundi wa Kupaua nyumba - monopitch

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,335
Reaction score
23,951
Sabalheri wakuu,

Nahitaji fundi mweledi wa kupaua nyumba kwa mtindo wa MONOPITCH kwa bei nzuri (?nafuu?).

Nina ramani/michoro tayari - ni nyumba ya makazi.

Eneo ni Kigamboni, Dar es salaam.

Kama unamjua fundi tafadhali nipe mawasiliano naye tuzungumze au kama wewe ni fundi njoo tuzungumze.


Wasalaam wapendwa,
Mentor.
 
Hebu jaribu kwenda instagram page ya Mkudesimba origional (kitale) utakuta kuna kazi kafanyiwa na namba za aliyempaulia kaweka hapo.
 
Vipi fundi kutoka mkoani
Kama gharama za malazi zitakuwa juu yake then sioni shida...ingawa si project kubwa hivyo kuhitaji fundi kutoka mkoani mkuu.
 
Mkuu kapicha kidogo
Hii ya kwanza ndiyo monopitch au skillion roof


Ya pili ni Garble roof
Screenshot_20190701-080207_Pinterest.jpeg
Screenshot_20190701-080441_Instagram.jpeg
 
Sisi mafundi wa mikoani na tusio na nauli na makazi hapo Darisalama unatusaidiaje boss Mentor?
 
Jirani yako hamna nyumba ilioezekwa vizuri ikakuvutia hadi ukauliza?
 
Back
Top Bottom