NAHITAJI FUNDI WA GYPSUM

NAHITAJI FUNDI WA GYPSUM

kumaro

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
33
Reaction score
2
Fundi wa gypsum anahitajika haraka ambaye ana design nyingi tofauti tofauti.mi niko mbezi Dar.
 
nina design aina nyingi sana, ni wewe tuu... kama ni contract kubwa ni pm tufanye kazi
 
Simfagilii si tu kwamba nifundi, bali kazi zake ni za kisasa. 0714785185 Haji. Labda ushindwe kumlipa kwani kiwango cha kazi yake kiko juu.
 
Simfagilii si tu kwamba nifundi, bali kazi zake ni za kisasa. 0714785185 Haji. Labda ushindwe kumlipa kwani kiwango cha kazi yake kiko juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom