jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,101 Reaction score 441 Jun 29, 2019 #1 Habari, Nahitaji fundi wa kurekebisha sofa seti moja kwa bei nafuu na material ni juu yangu. Kitambaa cha sofa kimechanika na nahitaji kubadilisha. Napatikana Boko
Habari, Nahitaji fundi wa kurekebisha sofa seti moja kwa bei nafuu na material ni juu yangu. Kitambaa cha sofa kimechanika na nahitaji kubadilisha. Napatikana Boko