balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,370
- 13,767
Wakuu bajeti yangu ni laki na nusu,natafuta kafriji kadogo ,kawe kazima na kako vizuri,napatikana mbezi kwa musuguli.
Wewe uko wapNaweza kukununulia na kukutumia bila kuonana, but uaminifu tu
Malipo baada ya mzigo kunifikia na kujaribiwa ubora wake..Sawa?Nipo Tanzania, usijali kama ukiwa tayari mzigo utaupokea popote ulipo, just in two days
Hakuna tatizo,Malipo baada ya mzigo kunifikia na kujaribiwa ubora wake..Sawa?