Nahitaji friji ndogo used

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
801
Ninahitaji friji ndogo used, inayofanya kazi vizuri, yenye partitions kadhaa ndani, safi, rangi nyeupe , 75watt, iwe INA gesi yakutosha, anipe ofa yake kupitia 0687072066
Au naomba anaejua wanapouza kariakoo mafriji used anambie nikachague
 
Nenda Magaomeni msikiti wa Kichangani Barbara ya inayokwendea Kigogo nimeona hapo kuna maduka mengi tuu wanauza hiyo bidhaa..
 
Sikushauri kununua used. Friji ndogo zipo nyingi bei poa. Chukua hata Hisense zipo za watts 50
 
Ninahitaji friji ndogo used, inayofanya kazi vizuri, yenye partitions kadhaa ndani, safi, rangi nyeupe , 75watt, iwe INA gesi yakutosha, anipe ofa yake kupitia 0687072066
Au naomba anaejua wanapouza kariakoo mafriji used anambie nikachague
Kwanini mnapenda mitumba wakati friji mpya na nzuri now unaweza pata kwa bei rahisi tu? Nenda madukani katafute friji za Boss....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom