Nahitaji fridge ndogo ofa sh. 100,000/=

Nahitaji fridge ndogo ofa sh. 100,000/=

Swordfisher

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
233
Reaction score
37
Natafuta friji ndogo ya kununua hapa Dsm, iwe nzima isiyo na tatizo lolote, ofa yangu ni sh. 100,000/= . Alie nayo ani PM tufanye biashara.
 
ndogo kbsa au mid size?
hata ivyo pesa iyo ndogo sana. utapata mbovu. subiri wazee wa mji waje hapa.
ungekuwa na ela nzuri ningekupa "lg" bado mma kbsa. anyway subiri madalali waje amshua watakupatia "friji"
 
hiyo LG kwa bei gani!!!!!!!!!!
 
ongeza ongeza hiyo hela utapata friji nzuri original
 
Natafuta friji ndogo ya kununua hapa Dsm, iwe nzima isiyo na tatizo lolote, ofa yangu ni sh. 100,000/= . Alie nayo ani PM tufanye biashara.[/QUOTE
]
Kwa bei hiyo labda utapata deli.
 
ndogo kbsa au mid size?
hata ivyo pesa iyo ndogo sana. utapata mbovu. subiri wazee wa mji waje hapa.
ungekuwa na ela nzuri ningekupa "lg" bado mma kbsa. anyway subiri madalali waje amshua watakupatia "friji"

Bei gani unauza hiyo lg na ni saiz gani
 
ndogo kbsa au mid size?
hata ivyo pesa iyo ndogo sana. utapata mbovu. subiri wazee wa mji waje hapa.
ungekuwa na ela nzuri ningekupa "lg" bado mma kbsa. anyway subiri madalali waje amshua watakupatia "friji"

Nahitaji Ndogo kabisa! Kama unayo lete tufanye biashara, friji ziko nyingi kwa sasa sio kama zamani, nimewahi kununua deep freezer nzuri sana kwa ajili ya kuuzia vinywaji kwa bei ambayo hutaamini nikikutajia.
So bei niliyotaja kwa friji ndogo sio kitu cha ajabu hata kidogo.
 
"all the best"
 
Back
Top Bottom