Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
Kama unauza fremu Kariakoo ninahitaji nguo ama electronics.
Nataka niwe na duka mleUnahitaji nguo ama electronics????
Una manjonjo jack! Nani unamtafutia?Kama unauza fremu Kariakoo ninahitaji nguo ama electronics.
Kuna watu wanauza biashara Mkuu si unajua?Kama unauza fremu? Unataka kununua fremu au kukodisha?
Ok.