Nahitaji Freezer la kugandisha samaki

Nahitaji Freezer la kugandisha samaki

zebedayo musibha

Senior Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
111
Reaction score
86
Kwa yule ambaye ni supplier wa mafreezer hususani ya mitumba naitaji freezer moja au pengine ni mtu anayo anauza yenye sifa zifuatazo.

Sifa zake
Iwe na ukubwa wa kugandisha samaki kuanzia kilo 300 na kuendelea
Iwe na uwezo wa kugandisha samaki haraka na freeze kwa mda wa siku tatu pasipo umeme.

Tuwasiliane kwa namba 0755107237
 
Back
Top Bottom