Nahitaji flat screen ya bei Poa

Nahitaji flat screen ya bei Poa

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
Nahitaji flat screen ya bei Poa. Niko Nyamagana Mwanza.

Kwa yeyote mwenye kuuza tafadhali nijulishe hapa JF.
 
unataka ya bei rahisi ndio bei ipi hiyo??? toa offer watu waone kama inalipa!! mm ninazo used Dell,Hp,Samsung,Phillips,Hitachi kuanzia 15" hadi 21 bei zina range kati ya 110,000/= hadi 150,000/= nichek nipo K'koo-Dsm
0716-844978
 
unataka ya bei rahisi ndio bei ipi hiyo??? toa offer watu waone kama inalipa!! mm ninazo used Dell,Hp,Samsung,Phillips,Hitachi kuanzia 15" hadi 21 bei zina range kati ya 110,000/= hadi 150,000/= nichek nipo K'koo-Dsm
0716-844978

Samahan mdau nahitaji tv flat screen
 
Mi nauza LCD 40" yangu kwa sh. 750,000/=. kama utahitaji nipm. Haina tatizo lolote. Nahitaji kubadilisha TV.
 
leta 300,000/= nikupe samsung led tv ich 23 mpyaaaaaaa.....
 
mi nahitaji samsung led tv 32" niko A twn
 

Attachments

  • 1405721734824.jpg
    1405721734824.jpg
    55.9 KB · Views: 359
  • 1405721800195.jpg
    1405721800195.jpg
    43.7 KB · Views: 340
Singsung led 25'inches.. 2usb ports..3hdmi ports..hd ready.. earphone hole.. 3 av options (waweza chomeka ving'amuzi viwili na deki juu kwa mpigo)..IKO IN EXCELLENT CONDITION nimeitumia mwenyewe kidogo tu.. na iko na box+manual book plus kila kitu kama nlivyoitoa shop...
inaenda kwa uchakavu wa 300k tu.
 

Attachments

  • 1405731880348.jpg
    1405731880348.jpg
    41.9 KB · Views: 318
  • 1405731966834.jpg
    1405731966834.jpg
    39.5 KB · Views: 309
  • 1405732036375.jpg
    1405732036375.jpg
    45.3 KB · Views: 279
  • 1405732165823.jpg
    1405732165823.jpg
    21.2 KB · Views: 265
  • 1405732305156.jpg
    1405732305156.jpg
    32.6 KB · Views: 260
Back
Top Bottom