Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Nitajie bei kamili ya lg smart TV inch 32LG nchi hizo huwa hazizidi laki 7 so inategemea, alafu Wengi wanaziogopa mtumba ila mtumba ni konki cuz tunazozichukua ni kutoka Dubai na Uingereza...
That is my beibiiTunazo flati za mtumba na Za dukani, zipo hadi za laki 2, na utatumiwa popote ulipo, kazi kwako mkuu
Tatzo mkuu haufunguki bei na aina ya flat we mwaga bidhaa happa then tujue kipi ni kipi mkuuAgent wapo dar, tanga, morogoro, na zanzibar, ukubwa zipo inches tofauti pamoja na bei tofauti alafu inategemea kama ni smart au sio smart
MM NATAKA MTUMBA....BEI ZA MTUMBA ZNAANZIA NGAPI HAD NGAPI?Tunazo flati za mtumba na Za dukani, zipo hadi za laki 2, na utatumiwa popote ulipo, kazi kwako mkuu
Bei za mtumba inategemea na Inches za TV, aina yake na condition yake, ila nyingi zinaanzia 1.5 mpaka laki 8MM NATAKA MTUMBA....BEI ZA MTUMBA ZNAANZIA NGAPI HAD NGAPI?
niwekee namba yako nikuchekBei za mtumba inategemea na Inches za TV, aina yake na condition yake, ila nyingi zinaanzia 1.5 mpaka laki 8
Morogoro yupo agent ambae mzigo ukitumwa ndio utakwenda kuuchukulia kwake, na kama mtahitaji kuonana ili kujiridhisha usalama wa mali yako mkuu, agent yupo moro town sio mbali sana kutokea msamvu kama dkk 10-15Morogoro ntawapataje?
Lg Smart inch 32 laki 6.5, na lg ya kawaida laki 5 mkuuNitajie bei kamili ya lg smart TV inch 32
Pia nipe bei ya lg inch 32 TV ya kawaida
Star X mpya inch 24 laki 2.5Sio smart 24-25 inches bei gani star X
projector zipo Bei laki 4, Aina ni NEC - DLP,Naweza tumia projector nyumbani? Unazo pia projector nzuri?
Mtumba yake bei ganiStar X mpya inch 24 laki 2.5
Jamaa anavipaji vya kuchekesha sanayaani kuna watu mmezaliwa kuwachekesha wenzenu..sasa wanaiamkia shikamoo tv ya chogoo
Mtumba hatuna aina hiyo, Zipo philips na techwood,Mtumba yake bei gani
Samsung na lg 32" kwa 500000, mpya kabisa za 2016Waungwana nimechoka kuona wanangu waliozaliwa kuanzia 2006 wakiiamkiaHITACH TV (CHOGO) yangu shikamoo...nataka nilete kitu cha flat screen tv mpyaaaaa...budget yangu ni shilingi laki tano cash....haya nishaurini nikanunue aina ipi na wapi?!
Mkuu hizi TV za star X ubora wake ukoje maana naona zimejaa madukaniStar X mpya inch 24 laki 2.5
Ni sawa na tecno zilivyojaa kutokana na unafuu wake wa bei, ubora wake unatokana na matumizi yako. Ni nzuriMkuu hizi TV za star X ubora wake ukoje maana naona zimejaa madukani