Nahitaji feni, nipo Dar es Salaam

Nahitaji feni, nipo Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.
Nipo na feni nilinunua 40k hata haikajaa sana imeharibika mtoto kaharibu ndo maana natafuta nyengine humu ndo maana nikaweka 20k kama kiwango changu nilichonacho mjini mipango!!!!

Nishawazoea hamnipi shidaaa baadhi ya vidudu humu

Mnajimwambafai kumbe hamna lolote tunaotakiwa kujimwambafai ni cc tuliojiajiri au waliojiriwa sio ww unayekula bure kwenu kazi kupopoa wenzio humu[emoji57][emoji57][emoji57]

Jf kila mtu ana iphone na samsung ukipost tecno unapopolewa haya mnambie hivi kipind kile cha sent by using....mbona 97%users zilionekana tecno?hizo iphone au samsung zilipoteleaga wap???

Jf kila mtu ana nyumba na gari sjui daladala wanapandaga kiba nani[emoji44][emoji44][emoji44]

Stop faking your life niggah

Baadhi yenu muelewe

Kazi yenu baadhi yenu humu ni kuwapopoa wenzenu tuuu wakati nyie hamna lolote

Tena wengi mnaishu huko vijijini mnatukana humu shukuruni rea bila hivo hivyo vitecno visingepata chaji ya kuja kuwapopoa wenzenu humu

Unazeekea kwa shemeji zako sijui kwa dada unakula bure unakunywa unakunya bure utajulia wapi shida kijana weye?

Kijana mzima upo above 20+ huna hata godoro hata futi moja halafu unakuja kunipopoa mimi ebo[emoji1787] kama huu uzi haukuhusu jamba mbele!!!!!!!!!

Msinijazie nzi kwenye post yangu[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]

Haya povu ruksa ila lisiwe la sabuni za mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update:nimepata tena muhusika kaitumia only two months
Nimepata kwa 22k only

Mlonipopoa mna hali gani kama nawazoom vile[emoji91][emoji91][emoji91]

Mkishaona hii shushieni na maji ya moto mlale hahahaha

Mimi ndo toplemon bhana!!!!!
IMG_20200209_232014_133.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom