Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,182
- 4,176
- Thread starter
-
- #21
Kumbe zipo na series zake , kama nilivyo comment hapo juu mimi sina elimu ya printer ila nimepewa kazi ya kutafuta printer na pc yakePrinter watu wanabamizwa sana na anunue mpya series ya L nadhani sijanunua muda hizo.
Namba ndogo na kazi chache bei ndogo yenye kazi zaidi ya 3 ina bei kubwa na namba ikiwa kubwa ila ununue Mpya ikiwa used kifaa chake wanauza laki mbili ili utengeneze na wa mjini wanakuuzia tu ili urudi ianze biashara ya fundi..Kumbe zipo na series zake , kama nilivyo comment hapo juu mimi sina elimu ya printer ila nimepewa kazi ya kutafuta printer na pc yake
Shukrani mkuu nitaizingatia zaidi maana nilitaka nichukue hp ila bei zake zipo juuNi ngumu pia mimj ina mwaka nayo wa tatu wametumia ofisini sasa hivi anayo mtoto nae anairusha rusha tu wakati majina mengine makubwa zishaaga mashindano napotoa ushauri ni kitu nilichokitumia nakijua vizuri.
Asante nataka mpya yenye namba kubwa ni hiyo L series au kuna namba nyingine?Namba ndogo na kazi chache bei ndogo yenye kazi zaidi ya 3 ina bei kubwa na namba ikiwa kubwa ila ununue Mpya ikiwa used kifaa chake wanauza laki mbili ili utengeneze na wa mjini wanakuuzia tu ili urudi ianze biashara ya fundi..
Umesema upo kijijini hiyo inayoanzia L3325 itakufaa usichukue kubwa ambayo hautakua na matumizi nayo bei zake nazo huko zimechangamka pia..Asa
Asante nataka mpya yenye namba kubwa ni hiyo L series au kuna namba nyingine?
Asante kwa ushauriUmesema upo kijijini hiyo inayoanzia L3325 itakufaa usichukue kubwa ambayo hautakua na matumizi nayo bei zake nazo huko zimechangamka pia..
Pamoja.Asante kwa ushauri
Kama mfuko upo vizuri chukua Lenovo legion serie yoyote.Model gani ipo vizuri zaidi?
AsanteKama mfuko upo vizuri chukua Lenovo legion serie yoyote.
L series(3260) za eco tank ikiprint blank na wino umejaa shida nini?Printer watu wanabamizwa sana na anunue mpya series ya L nadhani sijanunua muda hizo.
Sawa mkuu, na HP laser jet wino upi mzuri? Wa unga au tonerAina nyingi za wino watu wameenda kutengeneza China ndio shida hiyo mimi mara nyingi nabeba hapa SA ningekua Tz ningekutumia set yake ukiona zinafaa uwe unaagiza huku ntaangalia brand ntakujulisha.
Shukrani mkuuKama mfuko upo vizuri chukua Lenovo legion serie yoyote.
Toner sema una gharama kuliko kutumia mashine ya Brother FC kama nakumbuka vizuri hii kwenye printing ipo vizuri pia na inadumu kwa muda mrefu.Sawa mkuu, na HP laser jet wino upi mzuri? Wa unga au toner
Hapo kuna swala la colour Settings kama ikigoma inatakiwa service kwa mtu anaezijua HP itarudi kama kawaida wala sio big ishu.L series(3260) za eco tank ikiprint blank na wino umejaa shida nini?