Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,180
- 4,173
Bei zako nzuriEpson eco tank L3250 = 550,000.
Dell Latitude core i-5, SSD 250gb na RAM ya 8gb = 350,000. Nipo Ngorongoro. Njoo PM
Kuhusu printer sina elimu nayo kubwa ila kuna mpiga picha aliniambia Epson ni nzuri kiuchumi wa kujibana kutokana na suala la wino. Nataka kwa kazi za ofisi ya kijiji tuUngetoa specification za hiyo printer pamoja na Laptop unayohitaji ila kwenye printer nunua yenye eco tank usinunue ink jet.
Laptop nenda na Hp au Lenovo kwa kazi ya stationery zinajitahidi kutoleta usumbufu..
Laptop za lenovo nazo zipo vizuri?Ungetoa specification za hiyo printer pamoja na Laptop unayohitaji ila kwenye printer nunua yenye eco tank usinunue ink jet.
Laptop nenda na Hp au Lenovo kwa kazi ya stationery zinajitahidi kutoleta usumbufu..
Kwa uzoefu wangu ningezipanga kwa kuanza na Dell, HP halafu Lenovo ya mwisho.Ungetoa specification za hiyo printer pamoja na Laptop unayohitaji ila kwenye printer nunua yenye eco tank usinunue ink jet.
Laptop nenda na Hp au Lenovo kwa kazi ya stationery zinajitahidi kutoleta usumbufu..
Sio zile za zamani hizi za sasa hivi ni nzuri sana wanazo touch pia kwa matumizi ya ofisi ni nzuri.Laptop za lenovo nazo zipo vizuri?
Inategemea na model ingawa binafsi hua naona siyo ishu hizi.Laptop za lenovo nazo zipo vizuri?
Mkuu nimeshauri kwa matumizi yake ya ofisi na budget yake pia kama atapata hp,Lenovo au hiyo dell sawa tu maana Tanzania zipo laptop nyingi anaweza akaingia huko na asitoke salama nimekumbuka kwa ambazo nazitumia ila kwa Laptop zipo zaidi ya hizi tulizotaja cheki incredible connections.co.za.Kwa uzoefu wangu ningezipanga kwa kuanza na Dell, HP halafu Lenovo ya mwisho.
Hivi eco tank unatakiwa uweke wino brand ipi? Nikiweka ink jet naona km inaleta miyeyushoUngetoa specification za hiyo printer pamoja na Laptop unayohitaji ila kwenye printer nunua yenye eco tank usinunue ink jet.
Laptop nenda na Hp au Lenovo kwa kazi ya stationery zinajitahidi kutoleta usumbufu..
Incredible ni website?Mkuu nimeshauri kwa matumizi yake ya ofisi na budget yake pia kama atapata hp,Lenovo au hiyo dell sawa tu maana Tanzania zipo laptop nyingi anaweza akaingia huko na asitoke salama nimekumbuka kwa ambazo nazitumia ila kwa Laptop zipo zaidi ya hizi tulizotaja cheki incredible connections.co.za.
Dah 😂Mkuu nimeshauri kwa matumizi yake ya ofisi na budget yake pia kama atapata hp,Lenovo au hiyo dell sawa tu maana Tanzania zipo laptop nyingi anaweza akaingia huko na asitoke salama nimekumbuka kwa ambazo nazitumia ila kwa Laptop zipo zaidi ya hizi tulizotaja cheki incredible connections.co.za.
TeteteteNaufuatilia Uzi kwa wivu mkubwa
Hiyo ya touch niliiona wauzaji walikuwa wanaisifia nikajua labda ni maneno ya wafanyabiashara tu ili wauze. Kwa muonekano ni nzuri hata bei yake ni rafiki tofauti na hp na dell. Sijui nichukue hiyo lenovo kwa matumizi binafsiSio zile za zamani hizi za sasa hivi ni nzuri sana wanazo touch pia kwa matumizi ya ofisi ni nzuri.
Model gani ipo vizuri zaidi?Inategemea na model ingawa binafsi hua naona siyo ishu hizi.
Ni ngumu pia mimj ina mwaka nayo wa tatu wametumia ofisini sasa hivi anayo mtoto nae anairusha rusha tu wakati majina mengine makubwa zishaaga mashindano napotoa ushauri ni kitu nilichokitumia nakijua vizuri.Hiyo ya touch niliiona wauzaji walikuwa wanaisifia nikajua labda ni maneno ya wafanyabiashara tu ili wauze. Kwa muonekano ni nzuri hata bei yake ni rafiki tofauti na hp na dell. Sijui nichukue hiyo lenovo kwa matumizi binafsi
Printer watu wanabamizwa sana na anunue mpya series ya L nadhani sijanunua muda hizo.Dah 😂
Umenichekesha ulivyosema akaingia na asitoke salama
Aina nyingi za wino watu wameenda kutengeneza China ndio shida hiyo mimi mara nyingi nabeba hapa SA ningekua Tz ningekutumia set yake ukiona zinafaa uwe unaagiza huku ntaangalia brand ntakujulisha.Hivi eco tank unatakiwa uweke wino brand ipi? Nikiweka ink jet naona km inaleta miyeyusho