Tumia microsoft outlook kaka kama uko kwenye company kubwa unaweza kuwatengenezea email address had 10000.
Kama uko fiti nitafute kwenye hizo no nije kuipiga hyo kaz 0714519880
Na kukufungia database kabisa

Fafanua nia yako ni email au ni database empty - Tafuta hapa kama nia yako ni email address Cryptome
Tahadhari: kuna databaase za majina na email za watu ndani ya mashirika ya kijasusi USA, hivyo kama unafanyia kazi zako nyumbani sawa lakini kama ni kwa ajili ya spam - kuwa mwangalifu
Fake Id, salama mkuu, I have over 15,000 email ids, nime zi filter za wakazi wa dar es salaam 10,000 na wa mikoani 5,000, will inbox you in the afternoon.