NAHITAJI Email DATABASE KUBWA

NAHITAJI Email DATABASE KUBWA

FOEL

Senior Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
141
Reaction score
34
Kama una email database kubwa (kuanzia 2000 email addresses )naomba tuwasilane kwa PM.

Asante sana.
 
Tumia microsoft outlook kaka kama uko kwenye company kubwa unaweza kuwatengenezea email address had 10000.
Kama uko fiti nitafute kwenye hizo no nije kuipiga hyo kaz 0714519880
Na kukufungia database kabisa
 
Tumia microsoft outlook kaka kama uko kwenye company kubwa unaweza kuwatengenezea email address had 10000.
Kama uko fiti nitafute kwenye hizo no nije kuipiga hyo kaz 0714519880
Na kukufungia database kabisa

Nadhani mwenzako anataka list ya email za watu ili awatumie spam, I'm sorry e-mail "marketing".
 
Fafanua nia yako ni email au ni database empty - Tafuta hapa kama nia yako ni email address Cryptome

Tahadhari: kuna databaase za majina na email za watu ndani ya mashirika ya kijasusi USA, hivyo kama unafanyia kazi zako nyumbani sawa lakini kama ni kwa ajili ya spam - kuwa mwangalifu
 
Nitumie PM, gmail account yangu inazo kama 16,500 hivi, mambo mengine tunaongea kwenye PM
 
Wakuu heshima zenu sana.

Bado napokea PM.

Kama una database kubwa naomba tuwasiliane kwa PM.
 
nina email 500,000 za east africa. tuwasiliane. 0767102102
 
Back
Top Bottom