NAHITAJI DUMBBELLS ZA KILO 5

NAHITAJI DUMBBELLS ZA KILO 5

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
360
Nahitaji used dumb bells za kilo 5 na kuendealea set1.
Mwenye nazo, tafadhali post hapa
 
Nahitaji used dumb bells za kilo 5 na kuendealea set1.
Mwenye nazo, tafadhali post hapa

Unataka kufanya ' mazoezi ' ya kwenda Kuvamia na Kuiba wapi Mkuu ili nikupe ushirikiano wa Kutukuka wa Kukusindikiza?
 
Nina muda sijaenda gym, sababu kubwa ni kubanwa na kazi. Unarudi jioni na umechoka, then unapotezea kuja kustuka unajikuta umekata wiki.

LAKINI ukiwa na vifaa kadhaa portable hapo home, unajipigia zako mdogo mdogo.

Nami nahitaji, mwenye details za wanapouza vifaa hivi aweke hapa..!
 
Fika Kinondoni makaburini pale opp na tx market wanaduka la vifaa vya mazoezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom