Nahitaji Dereva wa Gari, Dar

Ramthods

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
515
186
Habari wana JF,

Nahitaji dereva wa party time kwa ajili ya kufanya home delivery.

Nina biashara ya kutengeneza furniture. Kazi ya dereva itakua ni kuchukua kazi za wateja toka workshop na kupeleka majumbani (home delivery), pamoja na kwenda kuchukua mahitaji mengine ya workshop.

Gari ni Suzuki Carry, Manual, 4WD

Nahitaji mtu mwenye uzoefu wa kuendesha gari barabara za Dar kwa muda usiopungua mwaka mmoja.

Kwa atakae hitaji nafasi hii, tafadhani ni PM, ukijumuisha taarifa zifuatazo:

Jina,
Jinsia,
Umri,
Mahali unapoishi,
Namba ya simu kwa mawasiliano,
Historia yako ya kazi ya udereva hapo awali.

Ahsanteni sana,

Ram
 
mimi dereva nina class c nakaa mitaa ya uwanja wa ndege age 35 uzoefu wangu miaka 8 nipe hiyo kazi boss
 
Back
Top Bottom