Nahitaji dada wa kazi za ndani

Nahitaji dada wa kazi za ndani

daktarii

Member
Joined
Sep 14, 2020
Posts
39
Reaction score
50
Nahitaji msichana wa kazi za ndani. Nyumba Haina mtoto.

Bagamoyo

50- 60k

0762565051
 
Tafuta tu ndugu yako ukae nae mkuu
 
Kwan wanafanyakazi wanalipwa sh ngap wa ndani . ? Kazi yake ni kupika , kuosha vyombo , na kudek nyumba . ?

Nje Kuna mfanyakaz mwngne

Na sio wazee kusema wanashinda ndan ... Wote wanashughuli zao za biashara ...
 
Wanaodhalau elfu hamsini ni wanafiki.
Mtaani wafanyakazi wengi wa ndani huo ndiyo mshahala wao.

Kuna mabinti wanafanya kazi za ndani mpaka kwa malipo ya 40,000 kwa mwezi.
Mkoani kwetu watu wanafanya kazi mpaka kwa malipo ya 30,000 kwa mwezi.

Tatizo hapa JF watu wanajikuta matawi ya juu kana kwamba yanayoendelea mtaani hawayajui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom