Mkuu yaan tafuta sim ya design hiyo uifanyie back-up ya ROM kwa nck box au avenger box ndo utapata lakn ukisema utumie za mtandaon uta hustle sana nying zmecorrupt ukiflash kwenye sim inakua na tatzo la white screen tu au haiwak kbsa, me ninazo hapa stock ROM ya tigo na ile ambayo iko Unlocked sasa cjui tushare vp?