Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,576
Habari
Mimi mkazi wa Dar es Salam'Umri 25'Elimu Bachelor Degree.
Naamini kuna watu wakubwa humu CEOS/HRs/Manager au watu wenye Connection na hao watu tajwa/Kampuni na Ofisi mbalimbali.
Nahitaji Connection ya kupata kazi, elimu yangu Shahada ya elimu (Geography na History) pia nina ujuzi wa kutumia Kompyuta (Office Program).
Nipo tayari kufanya kazi yeyote nitayounganishwa.
Simu yangu touch yake mbovu changamoto kuandika kulipokuwa na kosa la uhandishi imelazimika kuwa changamoto ya simu.