Nahitaji connection ya soko la samaki Kilombelo Arusha

Nahitaji connection ya soko la samaki Kilombelo Arusha

Umomi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
677
Reaction score
994
Tumaini langu wote ni wazima.

Kama kichwa cha habari kinavyo someka nahitaji kufanya biashara ya kuuza samaki pale soko la Kilombelo Arusha kama kuna mtu mwenyeji au mwenye ndugu, jamaa ama rafiki anifanyie mpango ili nianze kesho.
 
Umomi,

Unataka kuwa shopkeeper au unataka kufanya biashara mwenyewe?
 
Mtoa maada embu jielezee kwa kina , unataka kufanya hiyo biashara kwa mtindo upi? Kwa simple research uliyo ifanya..

Inaweza ikavutia, wengine wenye mitaji tuka join, sio lazima awe mwenyeji wa chuga..

Sehem yenye ulaji, watu wenye capital hawachelewi kufika.
 
Back
Top Bottom