Nahitaji Computer Tano Bora kwa Biashara ya Internet Wilayani

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,025
Reaction score
494
Wadau naishi Wilayani pembezoni kidogo na naona mahitaji ya huduma bora ya internet kwa vijana wetu na wananchi kwa ajili ya mawasiliano ya TEHAMA.

Kwa wadau na wajasiliamali wazuri wa kuuza computer used au mpya zenye performance nzuri na capacity,memory na processor ya kukidhi haja naomba tufanye biashara hiyo bila kukosa.

Kiwango cha chini cha computer full set kinachohitajika ni tano (5).Kwa hivi sasa nipo DAR hivyo kuhakiki mzigo ni rahis sana.

Naomba kila mwenye kufanya biadhara hiyo aweke specification za computer hizo kabla ya kutaka kuja kuziona.

UJASIRIAMALI KWA MAISHA BORA YA VIJANA.
 
Mkuu,

Unatakiwa kwanza useme bajeti yako ni kiasi gani ndipo itakuwa rahisi kukutajia specification au kwako hata ya mil na nusu utanunua tu sababu ina specification nzuri?.

Fanya hivi; Nununa mashine 1 nzuri hasa, halafu zingine 5 unanunulia tu keyboard, mouse na monitor, hiyo 1 itatumika kama master kuongoza hizo zingine ambazo huhitaji kufunga cpu kila moja hivyo unaweza kuokoa pesa nyingi.

Kama upo serious nipigie kwenye 0769142586 naweza kuja kukufanyia hata installations.
 
fadhilipaulo, asante kwa ushauri wako nitakutafuta kwa ushauri.
 
Last edited by a moderator:
nicheki ninazo complete set na 17inch monitor(not flat) cpu ina disk 40gb ram 512mb na wireless full set na monitor bei 140000tsh ukitaka na flat zipo ninazo 23inch kwa 190000tsh each.ukitaka cpu peke yake 90000tsh with same specs mentioned above,,ukitaka specs ziongezeke na bei inaongezeka hapo nimekutajia the minimum price..
 
Wadau naishi Wilayani pembezoni kidogo na naona mahitaji ya huduma bora ya internet kwa vijana wetu na wananchi kwa ajili ya mawasiliano ya TEHAMA.

Kwa wadau na wajasiliamali wazuri wa kuuza computer used au mpya zenye performance nzuri na capacity,memory na processor ya kukidhi haja naomba tufanye biashara hiyo bila kukosa.

Kiwango cha chini cha computer full set kinachohitajika ni tano (5).Kwa hivi sasa nipo DAR hivyo kuhakiki mzigo ni rahis sana.

Naomba kila mwenye kufanya biadhara hiyo aweke specification za computer hizo kabla ya kutaka kuja kuziona.

UJASIRIAMALI KWA MAISHA BORA YA VIJANA.

Mkuu kama huna Haraka after few days kabla ya Tarehe 30 May ztakuja HP computer 2GB ram, 80HDD, Processor kuanzia 2.4 na kuendelea. ikiwa full yani Keyboard, Mouth na monitor ya nchi 17, kwa hizo 5, nitakuuzia kwa 320,000/= kila moja
 
Uko wilaya gani? Kama hautapata hapa JF sema nikuelekeze sehemu utapat kwa bei nzuri tu.
 
Mkuu kama huna Haraka after few days kabla ya Tarehe 30 May ztakuja HP computer 2GB ram, 80HDD, Processor kuanzia 2.4 na kuendelea. ikiwa full yani Keyboard, Mouth na monitor ya nchi 17, kwa hizo 5, nitakuuzia kwa 320,000/= kila moja

Nipe mawasiliano yako mkuu.nafikri tunaweza kutrade off kwa jambo ilo.
 
Suppose utahitaji reliable Internet solution, mimi ni dealer wa VSAT satellite Internet services. Bei zetu ni za chini kuliko satellite ISP yeyote mwingine hapa TZ na tuna coverage maeneo yote ya east africa

alphonce@alphonce.net
0767659145, 0787659145

Wadau naishi Wilayani pembezoni kidogo na naona mahitaji ya huduma bora ya internet kwa vijana wetu na wananchi kwa ajili ya mawasiliano ya TEHAMA.

Kwa wadau na wajasiliamali wazuri wa kuuza computer used au mpya zenye performance nzuri na capacity,memory na processor ya kukidhi haja naomba tufanye biashara hiyo bila kukosa.

Kiwango cha chini cha computer full set kinachohitajika ni tano (5).Kwa hivi sasa nipo DAR hivyo kuhakiki mzigo ni rahis sana.

Naomba kila mwenye kufanya biadhara hiyo aweke specification za computer hizo kabla ya kutaka kuja kuziona.

UJASIRIAMALI KWA MAISHA BORA YA VIJANA.
 
Ndio KRISTIAN, Actually tunafanya indoor and outdoor (Long distance) wireless networking using WiFi and WiMax technologies

Mkuu hebu naomba nidadavulie zaidi kuhusu hii huduma yenu....na unaposema ni cheap zaidi hapo una maanisha kitu gani. Hebu naomba maelekezo ya kina zaidi, haswa nichukulie ni kama mteja ambaye nataka kujua taratibu zote za kupata huduma yenu pamoja na gharama zake
 
Suppose utahitaji reliable Internet solution, mimi ni dealer wa VSAT satellite Internet services. Bei zetu ni za chini kuliko satellite ISP yeyote mwingine hapa TZ na tuna coverage maeneo yote ya east africa

alphonce@alphonce.net
0767659145, 0787659145

Mkuu kama bei zenu ni bora weka hapa tupime wenyewe.
 
VSAT satellite equipment $1400
Installation cost $350
Monthly subscription 512Kbps 5:1 (unlimited monthly volume) $180

Let me know if need any more details
 
Mkuu hebu naomba nidadavulie zaidi kuhusu hii huduma yenu....na unaposema ni cheap zaidi hapo una maanisha kitu gani. Hebu naomba maelekezo ya kina zaidi, haswa nichukulie ni kama mteja ambaye nataka kujua taratibu zote za kupata huduma yenu pamoja na gharama zake

Hope unaulizia kuhusu VSAT satellite Internet services.

Here is the details:
Tunatoa huduma ya Internet kupita njia ya Satellite, na hivyo tunaweza kufikisha huduma sehemu yoyote mteja alipo hata ambapo njia nyingine kama DSL na mobile networks haziwezi kufika

Ili kuunganishwa na huduma unahitaji kununua VSAT equipment, gharama zake ni kama ifuatavyo

VSAT satellite equipment $1400
Installation cost $350
Monthly subscription 512Kbps 5:1 (unlimited monthly volume) $180

Let me know if need any more details
 
Dell_OptiplexGX62028GHZw19Mon1.jpg

Ninazo Dell Optiplex GX620 complete units nne zenye flat screens na integrated speakers

3.2GHz Pentium 4 CPU / 504 MB of RAM / 80GB hard drive.

Bei Tshs. 320,000 kwa moja.

Zipo Dar es Salaam, Mbezi Beach

0656607933
 
Back
Top Bottom