Nahitaji computer desktop...

Am a star

Senior Member
Sep 22, 2015
167
158
Happy sunday..
Wakuu ni kama msaada tu! Baada ya kuona mtaji ninao mkononi. ninaomba mtu mwenye desktop used...

Nitampa cm yangu Huawei 330 na 40000 cash.
kama unaweza kunisaidia ni pm.. Pesa ngumu ndugu zangu msaada tu.
 
Njoo nikuuzie cpu ila

Njoo nikuuzie cpu nnazo 3 njoo uzikague mwenyewe
 
Back
Top Bottom