usisite kutupa mrejesho.Kula bure, kunywa Bure na bado nikitaka kulipwa nalipwa.
Mimi kazi yangu ni kukupigia story tuu ucheke usahau matatizo. NIPO TAYARI
Sawa mkuu, mrejesho nitauleta au anaweza akauleta hata yeye.usisite kutupa mrejesho.
Na stress za biashara mno na wife ni mtu wa kelele always so nakosa faraja
Nahitaj compan(sio ya kimapenz NO) ya story,kunywa(ingawa pombe situmii but we ruksa),kula
But kikubwa uwe mcheshi ili unipigishe story mpk nisahau matatizo yangu kwa muda
Ukitaka malipo nitalipa( jinsia yoyote)
Njoo dm( niko sinza)
😀 😀 😀Mimi nahitaji kampani ya kumchekesha mkeo wakati huo we ukiwa na kampani zako...