Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 349
- 503
Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/
Unapohitaji kitu taja na mkoa ulipo, Coaster kutoka Dar kwenda mikoani unajuwa bei yake?Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/
NakaziaUnapohitaji kitu taja na mkoa ulipo, Coaster kutoka Dar kwenda mikoani unajuwa bei yake?
Coaster za kukodisha kwa siku 150,000/= hujasema za kazi gani zitaenda wapi na wapi au kufanyia shughuli gani!Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/
Tshs 150000/= Unapata Lita 55 DieselCoaster za kukodisha kwa siku 150,000/= hujasema za kazi gani zitaenda wapi na wapi au kufanyia shughuli gani!
Kumbuka hiyo 150,000/= gari ikiingia sheli haijazi tank.
Pengo Makeke kazini. Mnataka mkaibe spea?Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/
Wakuu mwenye gar aina ya coster nahitaji 10 za kukodisha kwa siku 150000/
Kusafirishia specimens za Jeffrey Epsten kwenda Kisiwa cha MnembaPengo Makeke kazini. Mnataka mkaibe spea?
Ndio kama miezi 6 nakuendeleaSiku zote hizo?
Mafuta ni juu yetu sisiCoaster za kukodisha kwa siku 150,000/= hujasema za kazi gani zitaenda wapi na wapi au kufanyia shughuli gani!
Kumbuka hiyo 150,000/= gari ikiingia sheli haijazi tank.
Kanini haka😂Pengo Makeke kazini. Mnataka mkaibe spea?