Nahitaji chumba cha kupanga

Nahitaji chumba cha kupanga

kipo hapa kinondoni kwa matx bei 150,000 miezi kumi anachukua , gari inafika mpaka ndani chumba ni master na kina kina jiko

hakuna ambavyo bei inashuka kidogo, yaan self ambayo haina jiko? coz jiko kwangu sio umuhimu kivile, chumba nikikipanga vzr naweza weka jiko au nikapikia nje coz cna vitu vingi sn
 
Maeneo ya buguruni vp especialy malapa ntapata cha bei gani?
 
hakuna ambavyo bei inashuka kidogo, yaan self ambayo haina jiko? coz jiko kwangu sio umuhimu kivile, chumba nikikipanga vzr naweza weka jiko au nikapikia nje coz cna vitu vingi sn
kipo cha laki choo kiko nje gari inaingia ndani wapangaji mko wawili tu , kipo kinondoni mahakamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom