chanika na pugu vipo karibuWakuu bado hakijapatikana.
Ya vyumba vingapi na ina hali gani? Maeneo gani?IPO nyumba
Ungeweka na bajeti yako...Nahitaji chumba maeneo tajwa.
Umepata?Kiwe katika hali nzuri maeneo ya Ubungo au Kimara.
Picha zake pleaseKimara mwisho kipo chumba na sebure kodi 80 kwa mwez vyumba ni vzur sana.
Kutoka Moro road mpaka hapo ni km 1.5