Nahitaji mtu ambaye anaweza kunisaidia kupata cheti changu cha kuzaliwa harafu akanitumia haraka iwezekanavyo. Scammers usipoteze muda wako, malipo yatafanika face to face na mtu wangu ambaye yupo bongo.
Nahitaji mtu mwenye uzowefu na anajua kitachotakiwa kufanyika. Kwa bahati mbaya niliondoka miaka mingi iliyopita na sikukumbuka kutafuta cheti changu cha kuzaliwa.
Kama unamjua mtu, ofisi , ambayo wanaweza kunisaidia Tafadhari wasiliana nami. Najua kuhusu RITA tatizo ni kuwa nipo ughabuni na sikuwahi kujiandikisha.
ahsanteni sana.
* To ADMIN, I hope this is the right place for my post, but if am wrong then please guide me to the right forum, It is not my intension to post in a wrong forum. Thanks