Nahitaji cherehani used

Nahitaji cherehani used

Agenda1

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
1,692
Reaction score
3,420
Wadau nahitaji cherehani ya kushona nguo kwa ajili ya kuunga mkono juhudi na kutekeleza sara ya awamu hii tulionayo. Nina upungufu wa cherehani 1 ili kukamilisha kiwanda changu kipya. Basi alienayo asisite kunifuata pm kwa mazungumzo. Asanteni
 
Back
Top Bottom